The House of Favourite Newspapers

KALANGA: Naona Mnatudanganya Tu, Fedha Ziko Wapi? – Video

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, mhandisi Isaac Kamwelwe na Naibu Waziri wake Juma Aweso.

VIDEO: MSIKIE AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.