Karibu Sha Villa Hotel, Tegeta kwa huduma za kisasa
–>Kwa malazi bora, yenye utulivu na hewa safi, karibu Sha Villa
Hotel iliyopo Tegeta jijini Dar.
–>Hoteli ipo Tegeta-Nyaishozi, Opposite na Nyama Chabesi.
–>Ipo mita 500 kutoka Bagamoyo Road.
–>Ina vyumba vya kisasa, garden ya kuvutia, counter yenye
vinywaji vya kila aina na parking ya kutosha.
–>Vyumba ni bei rahisi.
–>Karibu wewe na familia yako.
CONTACTS: 0714 235 945
0682 117 270