
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Queen Mlozi, amefanikisha kuendesha harambee ya ujenzi wa Kituo cha Hija cha Mt. Paul wa Pili na Mama Theresa wa Calcuta huko Ifucha mkoani Tabora ambacha kikikamilika kitagharimu zaidi ya Sh. milioni 40.

Katika hafla hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wikiendi iliyopita, Mlozi aliwashuhukuru wote waliojitolea kuchangia ujenzi huo.


Comments are closed.