The House of Favourite Newspapers

KIKOSI CHA +255 GLOBAL RADIO KILIVYOTUA DAR LIVE

Watangazaji na wafanyakazi wa +255 Global Radio wakiwa katika picha ya pamoja usiku wa kuamkia leo  Dar Live kutambulisha ujio wa redio hiyo.

KIKOSI cha +255 GLOBAL RADIO usiku wa kuamkia leo Aprili 22, 2019 kimetua kwa kishindo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar es Salaam kutambulisha redio hiyo kwa mashabiki walijitokeza katika shoo iliyofanyika katika Sikukuu ya Pasaka.

PICHA NA RICHARD BUKOS 

ASLAY ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

 

Comments are closed.