Kikosi cha Yanga Kimewasili Dar es Salaam Kikitokea Mwanza Kibabe – Picha
Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Dar es Salaam kikitokea Mwanza ambapo walicheza mechi ya Ligi Kuu NBC dhidi ya wenyeji wao Geita Gold jana Jumamosi na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.


