The House of Favourite Newspapers

Kimenuka: Muro Aichana Hadharani Hotuba ya Chama, “Mtakufa” – Video

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ameichana Hotuba ya Chama Cha Ushirika cha Wilaya ya Arumeru iliyosomwa na kukabidhiwa kwake katika kikao cha kawaida kilichofanyika kilichokuwa na lengo la kuangalia namna bora ya kuboresha vyama vya ushirika.

VIDEO: TAZAMA TUKIO HAPA

Comments are closed.