KISIWA CHENYE MTU MMOJA TU MAARUFU! – VIDEO

Sio kila mara utapata kusikia kuhusu kisiwa cha Guam ambacho ndio kikubwa zaidi katika Bahari ya Pacific na kinamilikiwa na Marekani. Ni eneo ambalo liko mbali zaidi kwa raia wa Marekani kutembelea bila kutoka Marekani.

KARIBU UYAFAHAMU MAMBO sita kuhusu Kisiwa cha GUAM

Loading...

Toa comment