The House of Favourite Newspapers

Kufuru! Lil Wayne Anunua Mjengo wa Bil. 39 (PICHA 12)

Rapa Dwayne Michael Carter Jr, ‘Lil Wayne’ baada ya kuweka rekodi kwa kuuza kopi nyingi zaidi za albamu yake ya Carter V,  sasa ameamua kununua mjengo uliopo Miami Beach wenye thamani ya Dola za Marekani mil. 17 (TSh. bil. 39)

 

Nyumba hiyo ina vyumba saba na nafasi iliyopo wazi ni futi za mraba 10,632 lakini mwaka jana, 2017, msanii huyo anayejulikana pia kama Weezy,  aliuza nyumba yake huko Miam Beach kwa Dola za Marekani mil. 10 (Sh. bil. 23)

 

Tazama picha za nyumba hiyo hapa chini.

Upande wa mbele wa kuingilia uliozungukwa na sehemu ndigo za maji (pool).

Jikoni kukiwa na meza ya kulia.
Jiko jingine kwa upande wa nyuma
Chumba kikuuv (master bedroom)
Bafu la chumba kikuu.
Bafu za vyumba vingine vya ndani.
Chumba maalumu cha kuangalia filamu (movie theater).
Sehemu ya kuogelea nje ya nyumba.
Upande wa pili ambao sehemu ya kuogea inaonekana kwa usahihi.

Comments are closed.