Lady Jaydee X Spicy-Together Rimix (Official Video) Ipo Mkitoni - Global Publishers


Imewekwa na on December 15th, 2016 , 12:18:58pm

Lady Jaydee X Spicy-Together Rimix (Official Video) Ipo Mkitoni

Together ni wimbo unaohusu urafiki, uaminifu na heshima, vitu ambavyo Spicy anaamini kwamba ni viungo muhimu kwenye mapenzi. Ni wimbo unaozungumzia mwanzo mpya kwenye maisha na unamgusa kila mmoja aliyekutana na mapenzi, urafiki na uwiano sahihi kwenye maisha. Unapatikana mkitoni, bofya hii link kupakua: http://bit.ly/Together_Remix

Singo hii ni remix ya Spice, ambaye ni mtunzi, mtayarishaji na mwimbaji akishirikiana na mshindi wa tuzo kadhaa zikijumuisha Mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jaydee akiwa chini ya ushirika wa lebo yake ya ROCKSTAR4000 pamoja na Rockstar Publishing. Wimbo umetengenezwa na picy chini ya lebo ya Spicy Muzik Record.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Stori zinazo husiana na ulizosoma