The House of Favourite Newspapers

Lema Kuzungumzia Kutekwa Kwa Mo Dewji Leo

Mbunge wa Chadema Arusha Mjini, Godbless Lema.

 

Mbunge wa Chadema Arusha Mjini, Godbless Lema, mbaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, amesema, leo atazungumza na waandishi kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji.

Amesema mkutano huo na waandishi utafanyika makao makuu ya Chadema mtaa wa Ufipa, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

Katika Twitter  Lema aliiandika jana ikisema, “Nafikiri kwa sasa ninaweza kuongea na waandishi wa habari kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara Mo Dewji.”

Posti ya Godbless Lema kwenye ukurasa wake wa twitter jana ipo hapa chini.

 

 

Comments are closed.