HabariKitaifa Lindi: Kikwete Aongoza Swala ya Eid El-Adha Last updated Jul 31, 2020 0 Share RAIS Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid Al-Adha Kimkoa iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Ilulu, Lindi mjini. Dkt Kikwete ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete. Related Kikwete 0 Share