The House of Favourite Newspapers

LIVE: Matokeo ya Uchaguzi UVCCM Taifa Yatangazwa- Dodoma

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), yametangazwa leo Mjini Dodoma, walioshinda ni kama ifuatavyo.

Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT

-DOTO NYIRENDA

Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi

-AMIR MKALIPA

Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa

-Nasra Haji

-Abdallah Rajabu

Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3..

-Rose Manumba

-John Katarahiya

-Secky Katuga

Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar..

-Abdallaghari Idrisa Juma

-Maryam Mohamed Khamis

Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara..

-Sophia Kizigo

-Musa Mwakitinya

-Khadija Shabani ‘Keisha’

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti… Kura halali 565

-Thabia Mwita 286 (Mshindi)

-Rashid Mohamed Rashid 282

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Tabia Mwita.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.

Kheri Denice James, Mwenyekiti Mpya.

VIDEO YA MATOKEO HAYO IKO HAPA

Comments are closed.