The House of Favourite Newspapers
gunners X

LIVE: WASAFI FESTIVAL 2018 KUTOKA MTWARA USIKU HUU (PICHA + VIDEO)

Kwa mara ya kwanza Mapinduzi ya Burudani Wasafi Festival2018 yanaendelea kufanyika usiku huu katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akiongea jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (Basata), Godfrey Mngereza.

 

Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha hilo ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Dudu Baya, Country Boy, Lava Lava, Young Killer, Navy Kenzo, Chin Bees, Mbosso, Queen Darling, mchekeshaji Dulvan na wengine kibao.

Umati wa watu waliofika katika Tamasha la Wasafi Festival 2018 usiku huu katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara.
Wasanii wakiendelea kuwapa burudani mashabiki.

 

PICHA NA MUSA MATEJA, MTWARA – GPL

Comments are closed.