The House of Favourite Newspapers

Lulu Diva Avunja Ukimya, Nampenda Rich Mavoko – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva, amefungukia ishu ya inayodaiwa kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki wa WCB, Rich Mavoko.

Lulu Diva ambaye kwa sasa ameachia wimbo mpya na Mavoko unaoitwa ‘Ona‘ amefunguka hayo akipiga stori na Global TV Online.

VIDEO: MSIKIE LULU DIVA AKIFUNGUKA

Comments are closed.