The House of Favourite Newspapers

Mahali Atakapozikwa Dkt. Mengi Pakamilishwa – Video

MAANDALIZI yamekamilika mahali ambapo Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  baada ya ibada iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro.

Kaburi atakakopumzishwa Dkt. Reginald Mengi (kushoto, lililozungushiwa kitambaa cheupe) likiwa tayari nyumbani kwao.
Sehemu watakayokaa viongozi wakati wa mazishi.

LIVE: IBADA ya MAZISHI ya MENGI, WAZIRI MKUU AWASILI KANISANI

Comments are closed.