MAGAZETI FEBR 15: MBASHA ATIKISA NDOA YA MASANJA – VIDEO
Share
KISA kikidaiwa kuwa ni penzi la Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa, muimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameitikisa ndoa ya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’.
Comments are closed.