The House of Favourite Newspapers

Magwiji 10 Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Dunia

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina 10 ya wachezaji wa kiume wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Kiume wa FIFA 2017/18

Majina yao haya hapa;

🇮🇹 Max Allegri
🇷🇺 Stanislav Cherchesov
🇭🇷 Zlatko Dalic
🇫🇷 Didier Deschamps
🇪🇸 Pep Guardiola
🇩🇪 Jurgen Klopp
🇪🇸 Roberto Martinez
🇪🇸 Ernesto Valverde
🇫🇷 Zinedine Zidane
🇦🇷 Diego Simeone
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Gareth Southgate.

Nani unampa nafasi ya kuibuka mshindi.

Comments are closed.