The House of Favourite Newspapers

Mahaba Mazito! Harmonize Amnunulia Kajala Iphone 14 Pro Max

0
Harmonize na Kajala

CEO wa Lebo ya Konde Gang, msanii Harmonize sasa ni mwendo wa kumpa malavidavi mpenzi wake, Kajala mpaka mwenyewe aseme inatohsa.

 

Unaambiwa staa huyo tayari amemnunulia Kajala simu mpya aina ya iPhone 14 Pro Max yenye thamani ya takribani Tsh milioni 3.1.

Harmonize na Kajala wamekuwa kwenye penzi zito tangu waliporudiana

Kajala amethibitisha hilo kupitia insta story yake; “Mshikaji wangu katisha,” Unasomeka ujumbe wa Kajala kupitia insta story yake alioambatanisha na video hiyo.

 

Fahamu, Simu mpya aina ya iPhone 14 Pro na Pro Max ambazo zimezinduliwa hivi karibuni na Kampuni ya Apple, zinatajwa kuwa na sifa kedekede nzuri ikiwemo kamera yake yenye uwezo wa kupiga picha zenye ubora wa hali ya juu.

Leave A Reply