The House of Favourite Newspapers

Makambo: Nitafunga Mpaka Tuwe Mabingwa

MSHAMBULIAJI hatari wa Yanga, Heritier Makambo raia wa DR Congo, amesema kutokana na nafasi anayoicheza, atahakikisha ataendelea kucheza kufanya hivyo ili kuibeba timu yake.

 

“Mimi nilikuja Yanga kupachika mabao ili timu yangu iweze kupata pointi tatu muhimu katika kila mchezo, hivyo nashukuru Mungu kwa jinsi wachezaji wenzangu wanavyojitoa na kunitengenezea nafasi ili nifunge. Naamini kwamba nitaendelea kufunga kila mchezo ili tutimize malengo ya kuwa mabingwa,” alisema Makambo.

 

Johnson James kwa juhudi ili afunge mabao yatakayoiwezesha timu yake kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu. Makambo ambaye juzi alifunga bao moja katika ushindi ambao Yanga iliupata wa mabao 3-2 dhidi ya Kagera Sugar, ameifanya timu yake kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ikiwa na alama 74, huku yeye akifikisha mabao 15.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Makambo alisema, alisajiliwa Yanga kwa ajili ya kufunga, hivyo atahakikisha anaendelea

Comments are closed.