The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Rais Amwakilisha Rais Samia Sherehe za Mei Mosi Arusha – Video

0


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024. Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika katika Sherehe za Mei Mosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha.

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024. Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya maandimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yanayofanyika Mkoani Arusha 2024
Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wenyeji wa maadhimisho, wakiingia kwa maandamano na kupita mbela ya mgeni rasmi Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdoro Mpango, wakati wa Maadhimishonya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi inayofanyika kitaifa Mkoani Arusha, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid tarehe 01 Mei, 2024
Wafanyakazi wa sekta zote binafsi na za Umma wakiongozwa na bendi ya Brass Bandi ya Jeshi la Polisi, wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango wakati wa maandamano iikwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi kitaifa mkoani Arusha, kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha Mei 01, 2024
Wafanyakazi wakiwa kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi, imayofanyika kitaifa mkoani Arusha, kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha Mei 01, 2024

 

Leave A Reply