The House of Favourite Newspapers

MAMA AWEKA BARAKA WIMBO WA MOBETO

MAMA wa mwanamitindo ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye uimbaji wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amefunguka kuwa ameamua kuigiza kama mama kwenye wimbo wa kwanza wa mwanaye huyo wa Madam Hero kwa ajili ya kuweka baraka zake.

Mama huyo alilieleza Ijumaa Wikienda kwamba hakuna jambo linalompa faraja kama kuona wimbo huo wa mwanaye unaongoza kwa sababu alipoamua kuigiza kama mama kwenye wimbo huo ilikuwa ni kuubariki ili ufanye vizuri.

 

“Alichokuwa anakitaka mwanangu ni baraka pekee kutoka kwangu kama mzazi na hilo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa,” alisema mama Mobeto.

STORI: IMELDA MTEMA, DAR.

 

EXCLUSIVE: MOBETO Afunguka Kumroga DIAMOND “Niko Huru Sasa”

Comments are closed.