The House of Favourite Newspapers

MASANJA Afunguka Ishu ya Wema, Amber Rutty na Pepo la Uzinzi – Video

MCHUNGAJI Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ amezungumzia sakata la picha na video za utupu za wasanii Wema Sepetu na Amber Rutty na kusema kuwa kwa sasa watu wengi wana mapepo ya kudanga na uzinzi na kuzungumzia wazo la nyimbo yake ya kemea pepo imetokana na vitu ambavyo vinaendelea katika jamii.

VIDEO: MSIKIE MASANJA HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.