The House of Favourite Newspapers

MASHAKA AZIKWA MAKABURI YA KINYEREZI DAR

Waombolizaji wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Mashaka wakielekea katika makaburi ya Kinyerezi, Dar es Salaam.

MWIGIZAJI mkongwe nchini, Ramadhani Mrisho Ditopile, almaarufu kama Mashaka ambaye aling’aa na Kundi la Kaole Sanaa, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam, leo amezikwa katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar.

…Safari ya makaburini ikiendelea.

 

Comments are closed.