The House of Favourite Newspapers

Mastaa Watoto 5 Wasiovaa Nguo za Kitoto

KATIKA kupambwa zaidi na wazazi wao ambao ni mastaa, mastaa watoto nao wamejikuta wakivaa mavazi ya aina yake, tofauti kabisa na umri wao.  Kwa maneno mengine,wamejikuta wakivaa mavazi ya kikubwa, yanayozidi umri wao.

Blue Ivy Carter
Ambaye ana umri wa miaka sita, mtoto wa wanamuziki Beyonce na Jay Z ana mavazi ya kikubwa na vikorokoro vya mapambo vya bei mbaya.

North West
Mtoto wa mwanamitindo Kardashian na baba mwanamuziki Kanye West, hung’arishwa kwa mavazi ya mtindo wa mama yake.

Luna Legend
Mtoto wa mwanamuziki John Legend na mama msanii, Chrissy Teigen, hupambwa kwa mavazi yanayoonekana yanazidi umri wake.

Harper Beckham
Kibinti hicho cha mcheza soka wa zamani wa Uingereza, David Beckham, kinaonekana katika picha kikiwa katika mavazi ya kikubwa na ya bei mbaya

Egypt Daoud Dean
Mtoto Egypt wa waimbaji Alicia na  Swizz, pia hutokelezea kwa ‘viwalo’ vya kikubwa, tofauti na umri wake.

 

 

 

 

 

Comments are closed.