The House of Favourite Newspapers

Matangazo ya michezo ya kubahatisha yadhibitiwa Kenya

BODI ya kusimamia michezo ya kubashiri nchini  Kenya imepiga marufuku matangazo ya kuhamasisha michezo hiyo kuonekana kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.

Aidha, matangazo hayo yamezuiwa kutangazwa mitaani, kwenye runinga na mitandao ya kijamii kwa wakati huo na watu mashuhuri wamezuiwa kutumika kuhamasisha michezo hiyo.

UCHAMBUZI MAISHA YA MENGI DUNIANI, ALIKUWA MTU WA WATU

Comments are closed.