The House of Favourite Newspapers

Matengenezo ya bomba kubwa la maji yaendelea Kawe-Tegeta

0

4 Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta.7Matengenezo ya Bomba hili ndiyo yaliyopelekea kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji wa Ruvu Chini ambapo kwa muda wa saa 48 huduma ya maji itakosekana katika jiji la Dar Es Salaam na Bgamoyo.5Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza juu ya matengemezo hayo alipotembelea katika eneo hilo kujionea shughuli zinavyoendelea.

Leave A Reply