The House of Favourite Newspapers

Matumaini ya Arsenal Kuongoza Kundi Yamebuma Yatoka Sare Na PSG bao 2-2

UEFA Champions League. Arsenal v Paris Saint Germain 23/11/16: Picture; Kevin Quigley/Daily Mail Edinson Cavani 1-0

Mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavani akifunga bao dakika ya 18 kipindi cha kwanza usiku wa kuamkia leo  Ligi ya Mabingwa Ulaya katika Uwanja wa Emirates.

uefa-3Mshambuliaji wa Arsenal , Giroud akipiga penalti dakika ya 45+1 kipindi cha kwanza.

uefa-2

Giroud akishangilia baada ya kufunga kwa penalti.

uefa-4

Alexis Sanchez (kushoto) akiwania mpira na  Grzegorz Krychowiak.

  uefa-6

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia baada ya kushinda bao.

uefa-7

uefa-5

Mtifuano ukiendelea.

uefa-8

Lucas Moura akishangilia.

uefa-9

Wachezaji wa PSG wakishangilia baada ya Iwobi kufunga dakika ya 77 kipindi cha pili.

MATUMAINI ya Arsenal kuongoza kundi A yamebuka baada ya kutoka sare  ya mabao 2-2 dhidi ya PSG katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliopigwa jana usiku kwenye uwanja wa Emirates.

PSG ndio walikuwa wa kwanza kufunga bao la kuongoza kwa bao lilifungwa na Edinson Cavan dakika ya 18 kipindi cha kwanza. Lakini Arsenal walisawazisha kwa pelnalti kabla ya mapumziko, baada ya beki Grzegory Krychowiak kumchezea vibaya Alex Sanchez na Oliver Giroud kuweka kimiani tuta hilo.

Kipindi cha pili Arsenal walikuja kwa kasi na shuti la Aaron Ramsey lilimgonga Marco Verratti na kuipatia Gunners bao la pili.

Arsenal (4-2-3-1): Ospina 6; Jenkinson 5.5 (Oxlade-Chamberlain, 81), Mustafi 6, Koscielny 6, Gibbs 6; Coquelin 5 (Walcott 80), Ramsey 5; Sanchez 7, Ozil 6.5, Iwobi 6 (Xhaka 78); Giroud 7

Subs not used: Cech, Monreal, Gabriel, Elneny

Scorers: Giroud, 45+1 (pen), Verratti, 60 (OG)

Booked: Coquelin, Koscielny

PSG (4-3-3): Areola 6; Meunier 6, Marquinhos 6, Thiago Silva 6.5, Maxwell 6; Verratti 7, Krychowiak 6 (Ben Arfa 67, 6), Motta 7; Lucas 6 (Jese 88), Cavani 7, Matuidi 7

Subs not used: Trapp, Kimpembe, Nkunku, Augustin, Ikone

Scorers: Cavani, 18, Iwobi 77 (OG)

Booked: Marquinhos, Verratti

Referee: Felix Brych 6

MOM: Thiago Motta

Comments are closed.