Maua Sama Aachia EP ya ‘Live session’ – Ipo Hapa
MSANII wa Bongo Fleva, Maua Sama ameachia EP yake ya ‘Live session’ inayoenda kwa jina la “SAMA Live” ikiwa na jumla ya Nyimbo 9. Ngoma zote izi alipiga Live kwenye TV show ya HoMaTVE. Kusikiliza nyimbo hizi bonyeza hapa => Maua Sama SAMA Live



