The House of Favourite Newspapers

Mayweather, Jenner, Messi Waburudishaji Wenye Mkwanja Mkali Zaidi

Floyd Mayweather, Kylie Jenner, Lionel Messi make Forbes' 2018 List of World's Highest-Paid Entertainers | BellaNaija

JARIDA la Forbes la Marekani  limewaorodhesha bondia Floyd Mayweather na waburudishaji wengine 100 ambao wanaingiza mkwanja mkali zaidi duniani hadi mwaka huu 2018.  Mwanamasumbwi huyo mwaka huu alifutika kibindoni Dola mil. 285, ambazo ni sawa na Sh. bil. 649 za Tanzania.

Nafasi ya pili imetwaliwa na George Clooney (Dola 239m), akifuatiwa na Kylie Jenner (166.5), Juddy Sheindlin (147), Dwayne ‘The Rock’ Johnson (124), U2 (118). Coldplay (115), Lionel Messi (111), Ed Sheeran (110), Cristiano Ronaldo (108)………

Comments are closed.