The House of Favourite Newspapers

Mazoezi ya Simba… Niyonzima, Juuko Warejea

BAADA ya kiungo mnyumbulifu wa Simba raia wa Rwanda, Huruna Niyonzima na beki kisiki raia wa Uganda, Juuko Mrushidi kuwa na muda mrefu bila kujumuika na wachezaji wenzao katika mazoezi.

Hatimaye kwa mara ya kwanza leo wamekutana uso kwa uso kwenye Uwanja wa Boko Veterani na kocha wao Patrick Aussems na kuwakaribisha kwenye kikosi hicho tayari kwa mazoezi mazito ya pamoja

NA MUSA MATEJA | GPL

Comments are closed.