The House of Favourite Newspapers

Mbunge Amwaga Machozi Bungeni “Watu Wanataka Kujinyonga” – Video

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Rukwa, jana alijikuta akimwaga machozi wakati akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa Bungeni hapo na waziri mwenye dhamana, Charles Tizeba.

KISA CHA KULIA MSIKIE HAPA

Comments are closed.