The House of Favourite Newspapers

Meghan, Prince Harry Wawavutia Watoto Ziarani Ireland

KAPO maarufu iliyofunga ndoa hivi karibuni — Meghan Markle  na mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry,  ambao hivi sasa wako katika ziara huko Ireland (Uingereza), wamepokelewa kwa shangwe kubwa jijini Dublin ikiwa ni pamoja na watoto ambao walifanya nao michezo ya utani.

 

Comments are closed.