The House of Favourite Newspapers

Mercy Aigbe amepigwa kibuti?

0

MERCY

HUENDA staa wa filamu kutoka Nigeria, Mercy Aigbe amepigwa kibuti na bwana wake, Richard Mofe-Damijo ‘RMD’ kutokana na viashiria anavyovitoa kupitia mitandao ya kijamii.

Mercy aliyeolewa na Richard ambaye ni mkongwe kwenye filamu Nollywood, kupitia ukurasa wake wa Instagram aliwaomba mashabiki wake waweze kushea naye mawazo, ambapo aliandika;

“Inawezekana kweli mtu aliyeolewa kuzinguliwa? RMD kwenda zako!”

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

Leave A Reply