HabariKitaifa MKAZI WA BOKO DAR AKABIDHIWA GARI MPYA RENAULT KWID TOKA M-PESA On Aug 9, 2018 Share Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto) akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na Pwani, George Lugata funguo za gari wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu. Batholomeo akizungumzia furaha yake baada ya kukabidhiwa gari. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu, akiongea kwa waandishi wa Habari pamoja na wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla kumkabidhi Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid. Balozi wa Miaka 10 ya M-Pesa, Idrisa Sultan, akionge na wananchi waliojitokezwa kwenye Viwanja vya Mwenge wakati wa hafla ya kumkabidhi mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00# Batholomeo Kanjo (watatu kushoto) akitoa ushuhuda njisi alivyoibuka mshindi wa Promosheni ya M-Pesa wakati wa hafla ya kumkabidhi gari hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam huku akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu ( kushoto) Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata, Balozi wa M-Pesa Idrisa Sultan, Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni. Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata, (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1 mkazi wa Mwenge Samweli Joseph baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya M-Pesa , wakati wa hafla kumkabidhi gari aina ya Renault Kwid mshindi wa sita Batholomeo Kanjo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam . Wapili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni. M-PESAvodacom Share
Comments are closed.