The House of Favourite Newspapers

Mkazi wa Kahama Akamata Kitita cha Tsh. Milioni 100 za Vodacom

 

thumbnail_001 thumbnail_002
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akimuonesha namba ya simu Afisa mwandamizi wa  Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini,Bakari Maggid (kushoto)ili aihakiki ambapo Bw. Venansi Deo, Mkazi wa Kahama aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- kupitia droo kubwa ya  promosheni ya ”kamata mpunga” inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544.Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.Kulia ni Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa kampuni hiyo, James Wawenje. 

thumbnail_003Afisa mwandamizi wa  Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini,Bakari Maggid(kushoto) na  Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa Vodacom Tanzania, James Wawenje wakimshuhudia Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)baada ya kumtangaza Bw. Venansi Deo,Mkazi wa Kahama kuwa mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/-kupitia droo kubwa ya “Kamata Mpunga”inayoendeshwa na kampuni hiyo na kuwawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544.Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali. 

thumbnail_004Baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia droo kubwa ya promosheni ya”Kamata Mpunga”ambapo Bw. Venansi Deo, Mkazi wa Kahama aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- leo.

 

Comments are closed.