The House of Favourite Newspapers

Mo Salah Akutwa na Corona

0

Shirikisho la soka la Misri (EFA) limetangaza kuwa mshambuliaji wao Mo Salah amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Hii habari mbaya kwa timu ya Liverpool ambayo wachazeji wake muhimu ni majeruhi Joe Gomez, Fabinho, Virgil van Dijk, Thiago Alcantara na beki Trent Alexander-Arnold .

 

kwa wa mwendo huu Kocha Jürgen Klopp anakuwa kwenye wakati mgumu kuutetea ubingwa wa ligi kuu Uingereza kwa sababu ya majeruhi ya muda mrefu ya wachazajiwake ambayo wameyapata msimu huu.

Leave A Reply