The House of Favourite Newspapers

Modo Mwenye Figa Ya Kuvutia Sanchoka Atembelea Global TV Online

sanchoka-1 sanchoka-2Modo mwenye figa ya kuvutia nchini Bongo anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka yeye hupenda kujiita Sanchi akiwa katika pozi alipotembelea Global TV Online jana katika Ofisi ya Global Publishers, Bamaga – Mwenge, Dar.

sanchoka

Akionyesha figa yake matata.

wahariri-gpl-1

Sanchoka akiongea na Wahariri na Waandishi ndani ya ofisi ya Global Publishers.

wahariri-gpl-2

Maongezi yakiendelea.

sanchoka-13Akijiweka sawa kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online.

sanchoka-6

Mtangazaji wa Global TV Online, Kelvin Shayo (kushoto) akifanya mahojiano na Sanchoka.

img_0292

…Mahojiano yakiendelea.

img_0312

Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally akiwa katika pozi na Sanchoka.

img_0296

Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda Sifael Paul (kushoto) akijiachia na Sanchoka.

sanchoka-11

Kelvin Shayo akiwa na Sanchoka.

sanchoka-7

Sanchoka akipata picha na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa (kushoto).

sanchoka-8

Musa Mateja akifanya yake na Sanchoka.

sanchoka-10

Nicodemus Jonas akiwa katika pozi na Sanchoka.

(PICHA: GLOBAL TV)

Darassa Afunguka Tuhuma za Kuiba Beat ya Saida Karoli Kwenye Wimbo Wake wa Muziki

Comments are closed.