The House of Favourite Newspapers

Msondo Ngoma, Sikinde Walivyotoana Jasho Dar Live

0

MSONDO vs SIKINDE (16) MSONDO vs SIKINDE (15) MSONDO vs SIKINDE (14) MSONDO vs SIKINDE (13) MSONDO vs SIKINDE (12) MSONDO vs SIKINDE (11) MSONDO vs SIKINDE (10) MSONDO vs SIKINDE (9) MSONDO vs SIKINDE (8) MSONDO vs SIKINDE (7) MSONDO vs SIKINDE (6) MSONDO vs SIKINDE (5) MSONDO vs SIKINDE (4) MSONDO vs SIKINDE (3) MSONDO vs SIKINDE (2) MSONDO vs SIKINDE (1)
MSONDO vs SIKINDE (25) MSONDO vs SIKINDE (26) MSONDO vs SIKINDE (24) MSONDO vs SIKINDE (23) MSONDO vs SIKINDE (22) MSONDO vs SIKINDE (21) MSONDO vs SIKINDE (20) MSONDO vs SIKINDE (19) MSONDO vs SIKINDE (18) MSONDO vs SIKINDE (17)

USIKU wa kuamkia leo Makundi mawili ya burudani yenye upinzani mkubwa Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ na Msondo Music usiku wa kuamkia leo yalifanya makamuzi yalioyoacha historia kwa wapenzi wa burudani.

Katika mtifuano huo uliohudhuriwa na umati mkubwa wa mashabiki ulisindikizwa na burudani mbalimbali akiwemo mkali wa singeli, Msagasumu na Wakali Dancers ambao hawana mpinzani katika masuala ya kudansi kwa kujinyonganyonga.

Mpambano huo uliendeshwa kwa kundi moja kupiga nyimbo kadhaa na kasha kulipisha kundi jingine hali iliwafanya mashabiki waliohudhuria wakose muda wa kuka kwenye viti.

Utamu huo ukiwa umekolea mwanamuziki wa Msondo, Roman Mng’ande aliapandisha mzuka na kuvua fulana na kuendelea kupagawisha mashabiki akiwa tumbi wazi.

Tukio lilisababisha umati uliofurika ukumbini hapo kupiga mayowe ya kumshangilia.

PICHA : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL

Leave A Reply