The House of Favourite Newspapers

Meya Ilala Ashiriki Kumswalia Maalim Seif

0

MSTAHIKI Meya Manispaa ya Ilala Mhe Omary Kumbilamoto akiwa katika Masjid Almul tayari kuupokea mwili wa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, tayari kwa ajili ya kuswaliwa Dar es salaam na kupelekwa airport ili kwenda Zanzibar kwa maziko,

 

Baada ya kuwasili Zanzibar mwili ulipelekwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar kwa ajili ya ibada ya kuuswalia ambapo marehemu atazikwa leo jioni eneo la Mtambwe, Pemba.

 

Mungu amsamehe makosa yake Hayati Maalim Seif Sharif Hamad amin.

 

 

Leave A Reply