The House of Favourite Newspapers

MWANZA: Wafanyabiashara Soko la Mlango Mmoja Wamegoma

WAFANYABIASHARA katika Soko la nguo na viatu Mlango Mmoja (maarufu kama Langolango) jijini Mwanza wamelazimika kufungua milango wanayotumia kuingia ndani ya soko hilo baada ya Halmashauri ya jiji hilo kushindwa kuwapatia vibali vya ujenzi wa maduka yao 29 pamoja na vibanda 55 vilivyoteketea kwa moto Septemba 29, mwaka huu na kuwasababishia hasara ya Shilingi milioni 580.

 

Jambo hilo limesababisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wenye silaha za moto na mabomu ya machozi kuwaamuru kwa nguvu wafanyabiashara hao kufungua milango ya soko hilo.

Comments are closed.