Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Akutana na Bodi ya Ushauri na Kutanya Kikao – Picha

Rais wa Simba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji Julai 6, 2024 amekutana na Bodi ya Ushauri na kutanya kikao cha pamoja.
Pia wamefanya kikao cha bodi chini ya Mwenyekiti wa Bodi.






