The House of Favourite Newspapers

Video: Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga Polisi 8 Waliouawa Kibiti, Pwani

1


Majeneza yenye miili ya marehemu ya polisi nane waliouawa kwa kupigwa risasi na majambazi, Kibiti, Pwani yakiwa katika Uwanja wa Polisi, Barracks barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiaga miili ya marehemu.
Mwigulu Nchemba Akiendelea kuaga.

Shehe akifanya maombi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (kushoto) akiwa na Mwigulu (kulia).
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro (wa mbele) akitoa pole kwa wafiwa.
RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga akiaga miili ya marehemu.

Kamanda wa Polisi Temeke Gilles Muroto akiaga.

Wakiendelea kuaga

1 Comment
  1. […] Baada ya vifo  vya Askari Polisi 8 waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha tarehe 13 Aprili, 2017 katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani. […]

Leave A Reply