HabariKitaifa Mzee Kikwete Ahani Msiba wa Mama Mwakinyo On Dec 27, 2021 0 Share Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amewasili Jijini Tanga nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo kutoa mkono wa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mama mzazi wa Bondia Hassan Mwakinyo, Bi. Fatuma Hassan Siri kilichotokea Jijini Dar es salaam. Related Kikwetemwakinyo 0 Share