The House of Favourite Newspapers

MZEE wa ‘Fyekelea Mbali’: NACHEZA Mpira Hadi Naukalia – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ambaye amejizolea umaarufu kupitia kauli yake ya FYEKELEA MBALI amesema kuwa yeye ni mchezaji mzuri tofauti na watu wanavyomzania na kwamba enzi za ujana wake alikuwa akicheza mpira sana mpira na kupachika mabao kama kiungo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Italia, Gennaro Ivan “Rino” Gattuso na Klabu ya AC Milan, ambaye kwa sasa ni kocha wa A.C. Milan.

 

Mwanri amesema hayo wakati akiwa akihimiza michezo katika Mkoa wake huo na kuahidi kufanya makubwa kwenye tasnia hiyo mwaka huu.

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKZA

Comments are closed.