The House of Favourite Newspapers

NABII  OLIVIA, ELISHA   WATIMIZA MWAKA MMOJA WA HUDUMA

Askofu Dtk. John  Mwakilema (kushoto) wa Kanisa la The Word of Prophecy Ministry lililopo mkoani Pwani akihubiri kanisani hapo.
Olivia na Upendo Nkone wakitoa ushuhuda kanisani hapo.
Manabii wawili wa Kanisa la Repohim lililopo Sinza-kwa Remmy  jijini Dar es Salaam, Elisha na Olivia wakimsikiliza Askofu Mwakilema.
Askofu Dtk.  Mwakilema akiedelea kuhubiri.
Taswira ilivyoonekana kanisani hapo.

 

MWANAMUZIKI wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amewapongeza Nabii Olivia na mume wake Elisha Mtangirwa kwa kutimiza mwaka mmoja wakitoa huduma ya neno la Mungu ndani ya kanisa lao.

 

Aidha Upendo Nkone ametoa ushauri kwa watu wote waliokata tamaa kwa kuzidiwa na matatizo ya kila aina kukimbilia kwa Yesu Kristo ili waweze kuondokana na matatizo yanayowasumbua pia kuhudhuria kanisani kadri wawezavyo.

 

Nabii Olivia na Mtume Elisha wametimiza mwaka mmoja ya utoaji huduma ya kiroho ya kumtumikia Mungu na wamewaomba watumishi wao waendelee kuwapa ushirikiano kutokana na huduma wanayoitoa.

 

Waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili walikuwepo wakiongozwa na Upendo Nkone.

 

Comments are closed.