Nafasi Za Kazi Wilaya Ya Kongwa Mwisho wa maombi Juni 26, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kufuatia kupokea kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na.FA.87/97/01/99 cha tarehe 15 Mei, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya
Wilaya ya Kongwa kutuma maombi ya kujaza nafasi zifuatazo;
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Juni , 2025
Comments are closed.