The House of Favourite Newspapers

NANDY ASHEREHEKEA BETHDEI, AZINDUA ALBAMU YAKE

Nandi akiimba.  

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Faustina Charles maarufu Nandy,  usiku wa kuamkia leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa sambamba na kuzindua albamu yake iitwayo African Princess. Uzinduzi huo umefanyika ndani ya Klabu Next Door Arena, Masaki jijini Dar na kuhudhuriwa na umati wa mashabiki.

Matukio katika Picha :

  Wanamuziki Mwasity Almas (kushoto) na Linna Sanga ‘Linnah’ wakifuatilia kinachoendelea.

Nandy akimuimbisha Billnas.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Pwani, Jokate Mwegelo,  akichukua kumbukumbu ya matukio.

Wasanii wa Bongo Muvi, Kajala Masanja (kushoto) na Jacqueline Wolper wakifuatilia shoo hiyo.

Petitman na Official Lynn nao wakifuatilia kinachoendelea.
Shilole akicheza na Nandy.
Nandy akimuimbisha Aunty Ezekiel.

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.