Nandy Natamani Kuwa Mke Wa Billnas

 

Binti anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Faustina Charles ‘Nandy’.

BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy amefunguka kuwa kama kutoa penzi ni bora kwa mwanamuziki mwenzake, Billnas na sio Dogo Janja kama wanavyosema watu.

 

Akazungumza na Spoti Xtra, alisema kuwa watu wengi wanasema kuwa wimbo alioimba wa Kivuruge amemuimbia Dogo Janja baada ya kumtema.

Billnas

“Sijawahi kuwa na uhusiano na Dogo Janja ila ni mshikaji tu na sijamfikiria labda mngeniambia Billnas ni mtu ambaye ninampenda na ninatamani siku moja awe wangu ila kama atanifuata yeye,” alisema Nandy.

HABARI NA IMELDA MTEMA | SPOTI XTRA

Loading...

Toa comment