The House of Favourite Newspapers

Nicki Minaj ni majanga juu ya majanga

0

WESTWOOD, CA - APRIL 21:  Nicki Minaj arrives at the "The Other Woman" - Los Angeles Premiere at Regency Village Theatre on April 21, 2014 in Westwood, California.  (Photo by Steve Granitz/WireImage)

Rapa, Nicki Minaj

New York, Marekani
WAKATI rapa wa kike, Nicki Minaj akikumbana na balaa la kufunguliwa kesi na mpenzi wake wa zamani, Safaree Samuels, ghafla limeibuka jipya baada ya kaka wa rapa huyo, Jelani Maraj, kuingia matatani kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 12.

Imedaiwa kuwa, Jelani, 37, alifanya tukio hilo hivi karibuni na Jumanne iliyopita alikamatwa na polisi kabla ya kufunguliwa kesi na kisha kuachiwa kwa dhamana. Minaj ametamka kuwa atapambana kuhakikisha kaka yake haingii gerezani.

Leave A Reply