The House of Favourite Newspapers

NOMA SANA… SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI

Kikosi cha Timu ya Simba kimeendelea na mazoezi yake katika kambi maalum waliyoweka nchini Uturuki.
Chini ya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems, Simba wameendelea kujifua kwa kiwango cha juu huku kocha huyo akionyesha amelenga kutengeneza hali ya uimara ya miili.  
Wachezaji wa Simba walifanya mazoezi kwenye Uwanja wa milima ya Kartepe nchini Uturuki.

Comments are closed.